Vitendawili Kitendawili? Tega. Popo mbili zavuka mto? Jua. Mmekosa! nipeni mji. Nenda Arusha. Siendi. Nenda Ifakara. Naenda, jibu lake macho.